Na Zitto Kabwe,Mpekuzi.
Katika ukurasa wangu wa facebook mnamo tarehe 25 Aprili 2015
niliandika kuhusu sababu za shilingi kuporomoka thamani na majawabu ya
namna ya kurejesha thamani halisi ya sarafu yetu.
Pambano la ngumi za kulipwa kati ya
Floyd Mayweathe na Manny Pacquia
WATU watano akiwemo dereva wa gari linalotumiwa na Mwenyekiti wa
Halmashauri ya wilaya ya Kilombero, David Ligazio ,Novatus Ngope (47),
wamejeruhiwa vibaya na shambulio la kitu kinachodhaniwa ni bomu la
kutupwa na mkono kutoka kwa watu wawili wasiofahamika walipokuwa kwenye
sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani juzi.
WAKIMBIZI 800 kutoka nchini Burundi wameingia nchini kupitia mkoani
Kigoma huku wengine 87 wakirejeshwa nchini mwao baada ya kuingia nchini
kwa kupitia wilayani Ngara mkoani Kagera.
Taarifa inatolewa
kwa vyombo vya habari kuwa kuwa Kamati Kuu ya Chama, chini
ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, itakutana Mei 3-4, katika kikao chake
cha kawaida kwa mujibu wa Katiba ya Chama.