Kwenye tafiti zilizowahi kufanyika wataalamu wanasema Binadamu akiwa na furaha anaongeza siku za kuishi, Watu wangu wa Mwanza usiku wa jana walitembelewa na mchekeshaji maarufu MC PiliPili unaambiwa watu walishika mbavu kila alipoongea na ule utani wake, Kwenye upande wa Burudani alikuwepo msanii wa Bongo Fleva Barnaba, ripota wa millardayo.om kazipata picha za tukio zima ruhusa kuzitazama.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.