Mchaka Zaidi

Friday, March 25, 2016

Hizi ni Pichaz 12 za mapokezi ya Taifa Stars Airport Dar wakitokea Chad Alfajiri ya March 25


Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars alfajiri ya March 25 iliwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage ukitokea Chad kwa kupitia EthiopiaTaifa Starswaliwasili Dar Es Salaam na kupokelewa na mapokezi mazuri kutoka kwa kikundi cha ushangiliaji cha Taifa Stars Suporter pamoja na watu mbalimbali.
Taifa Stars itacheza mchezo wake wa pili wa marudiano na Chad Jumatatu ya March 28 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, baada ya mchezo wa kwanza kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 uliyochezwa jumatano hii Chad katika uwanja wa Idriss Mahamat.
DSC_9318
Kikundi cha ushangiliaji kilichojitokeza kuipokea Taifa Stars
DSC_9333
Burudani ya ngoma ilikuwa ikiendelea wakati ambao Taifa Stars inasubiriwa
DSC_9351
Mbwana Samatta akisindikizwa na mashabiki kwenye basi la timu.
DSC_9359
Kocha wa Taifa Stars Boniface Mkwasa alivyosindikizwa kwenye basi na mashabiki
DSC_9355
Mbwana Samatta ndio alikuwa mchezaji wa mwisho kuingia kwenye basi
DSC_9360
IMG_0019
Stars Suporter wakijipanga kuisubiri Taifa Stars
IMG_0024
Erasto Nyoni
IMG_0033
Samatta akisalimiana na kiongozi wa Stars Suporter
IMG_0054
Kocha wa Taifa Stars Boniface Mkwasa akiongea na waandishi wa habari

Source: millardayo.com

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.