Mchaka Zaidi

Wednesday, March 30, 2016

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March30 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo

March 30 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu..

Tanzania shughuli tunayo June 4 na September 3

Siku zinazidi kusogea na matumaini ya Tanzania yanazidi kupungua kuhusu safari ya Gabon mwaka 2017 katika michuano ya mataifa ya Afrika. Baada ya timu ya taifa ya Chad kujiondoa katika michuano ya Mataifa ya Afrika na kuacha mtihani Kundi G lenye timu za TanzaniaMisri na Nigeria.

Monday, March 28, 2016

MC PiliPili alivyokutana na watu wake kwenye Stand Up Comedy Mwanza…(+Pichaz)


Kwenye tafiti zilizowahi kufanyika wataalamu wanasema Binadamu akiwa na furaha anaongeza siku za kuishi, Watu wangu wa Mwanza usiku wa jana walitembelewa na mchekeshaji maarufu MC PiliPili unaambiwa watu walishika mbavu kila alipoongea na ule utani wake, Kwenye upande wa Burudani alikuwepo msanii wa Bongo Fleva Barnaba, ripota wa millardayo.om kazipata picha za tukio zima ruhusa kuzitazama.

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 28 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo


March 28 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.

Friday, March 25, 2016

Hizi ni Pichaz 12 za mapokezi ya Taifa Stars Airport Dar wakitokea Chad Alfajiri ya March 25


Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars alfajiri ya March 25 iliwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage ukitokea Chad kwa kupitia EthiopiaTaifa Starswaliwasili Dar Es Salaam na kupokelewa na mapokezi mazuri kutoka kwa kikundi cha ushangiliaji cha Taifa Stars Suporter pamoja na watu mbalimbali.

Thursday, March 24, 2016

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 24 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo

March 24 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.

Monday, March 14, 2016

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 14 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo


March 14 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram@millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.

MOVIE: Matron wa shule kamzimia Mwanafunzi jeuri shuleni… (sehemu ya mwanzo)



Ni movie ya Mtanzania Salma Jabu maarufu ‘Nisha’ ambaye humo ndani yuko na mastaa kadhaa wa movie bongo akiwemo Mzee Majuto, na hii ni sehemu tu ya movie yenyewe inaitwa ‘Kiboko Kabisa’

Samatta kaiongoza KRC Genk katika ushindi wa goli 4-1, video ya goli lake hii



Kwa mara ya kwanza klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji ambayo inaongozwa na kocha lakini inachezewa na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta, imempa nafasi ya kuanza katika mchezo wa leo dhidi ya klabu ya KV Oastende.