Mchaka Zaidi

Saturday, May 6, 2017

Manchester City yaikaranga Crystal Palace mara tano

crystal palace

Klabu ya Manchester City imerudi katika nafasi yake ya tatu katika ligi ya Uingereza baada ya kupata ushindi mkubwa dhidi ya Crystal Palace ambayo imeshindwa kwa mara ya tatu mfululizo.

Friday, March 17, 2017

Timu nane zilizofanikiwa kufuzu kucheza robo fainali ya UEFA Europa League 2016/2017


Hatimae michezo ya hatua ya 16 bora hatua ya marudiano ya UEFA Europa League imemalizika usiku wa March 16 2017 kwa michezo nane kuchezwa, tayari timu nane zimepatikana baada ya michezo ya marudiano.

Magazeti ya Tanzania March 17, 2017 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo



Good Morning mtu wa nguvu, leo ni March 17 2017 na kama ilivyo kawaida yangu ya kila siku alfajiri nimekusogezea habari kubwa kwenye Magazeti kurasa za mwanzo na mwisho kuanzia ya UdakuHardnews na Michezo ili ujUe kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu

Friday, March 10, 2017

Mahakama yamng'atua mamlakani rais wa Korea Kusini

Rais wa Korea kusini aliyengatuliwa mamlakani na mahakama Park Guen Hye
Haki miliki ya pichaREUTERS
Image captionRais wa Korea kusini aliyengatuliwa mamlakani na mahakama Park Guen Hye

Mahakama ya juu nchini Korea Kusini imeunga mkono uamuzi wa bunge wa kumuondoa rais wa taifa hilo Park Geun-hye mamlakani

VIDEO: Baada ya mechi 9 za Europa bila goli, Samatta kaandika historia mpya ushindi wa 5-2



Mashabiki wa soka wa Tanzania ambao wanafuatilia kwa karibu maendeleo ya soka la nahodha wao wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta akiwa na timu yake ya KRC Genk ataifanyia nini katika mchezo wa kwanza wa UEFA Europa League hatua ya 16 bora dhidi ya KAA Gent kutoka Ubelgiji pia.

Magazeti ya Tanzania March 10, 2017 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo


Good Morning mtu wa nguvu, leo ni March 10 2017 na kama ilivyo kawaida yangu ya kila siku alfajiri nimekusogezea habari kubwa kwenye Magazeti kurasa za mwanzo na mwisho kuanzia ya UdakuHardnews na Michezo ili ujUe kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu kwenye Facebook, Twitter na Instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia

Sunday, November 20, 2016

Magazeti ya Tanzania November 20, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo



November 18 2016 naanza kukusogezea post zote kubwa kwenye zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye,UdakuHardnews na Michezo ili uje kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu kwenye Facebook, Twitterna,Instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachoonifikia