DIWANI wa Kata ya Ngula wilayani Kwimba, Palu Mashagu (CUF), anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh 150,000.
Monday, May 11, 2015
Maandamano Burundi yachukua sura mpya
Serikali ya Burundi imewataka waandamanaji katika mji mkuu wa Burundi Bujumbura kusitisha maandamano yao dhidi ya hatua ya rais wa taifa hilo Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu katika uchaguzi wa mwezi ujao.
Kenya wamtaka Rais Kikwete kuingilia kati mgogoro Burundi
Wananchi nchini Kenya wamemtaka mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambaye ni Rais wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete kuingilia kati mgogoro wa Burundi uliopelekea wanachi zaidi ya kumi kufariki dunia na wengine kukimbilia nchini Tanzania.
Sunday, May 10, 2015
Urais CCM waiweka pabaya Kamati Kuu.....Yadaiwa Inafanya Upendeleo Kwa Baadhi ya Wagombea
Mbio za urais ndani ya CCM sasa zimefikia pabaya baada ya kuibuka hofu ya kuwapo kwa mpango wa kuivuruga Kamati Kuu kabla ya haijakutana kuchuja majina ya makada watakaotakiwa kupigiwa kura na Halmashuri Kuu ili kumpata mgombea atakayepeperusha bendera ya chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu.
Hatima ya Lowassa, Membe sasa Mei 20
Filimbi ya kuanzisha mbio za urais kwa tiketi ya CCM itapulizwa Mei 23 baada ya kumalizika kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho tawala, huku makada sita walio ‘kifungoni’ wakitarajia kujua hatima yao kwenye mbio hizo Mei 20.
Thursday, May 7, 2015
Lulu Michael Akana Kuwa Na JINI MAUTI
MSANII nyota wa filamu, Elizabeth Michael `Lulu’
amekanusha uvumi kuwa matatizo yanayowatokea wanaume aliowahi kuwa nao
yanatokana na yeye kuwa na Jini Mauti anayesababisha hali hiyo kutokea,
Amani linakujuza.
Subscribe to:
Posts (Atom)