Sunday, May 3, 2015
UGAIDI Watikisa Tena Morogoro......Watu Watano Wajeruhiwa Kwa Bomu, Vijana Wawili Wanaswa Na Kutoroka Kimafia
WATU watano akiwemo dereva wa gari linalotumiwa na Mwenyekiti wa
Halmashauri ya wilaya ya Kilombero, David Ligazio ,Novatus Ngope (47),
wamejeruhiwa vibaya na shambulio la kitu kinachodhaniwa ni bomu la
kutupwa na mkono kutoka kwa watu wawili wasiofahamika walipokuwa kwenye
sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani juzi.
Vurugu Burundi: Wakimbizi 800 Waingia Nchini
WAKIMBIZI 800 kutoka nchini Burundi wameingia nchini kupitia mkoani Kigoma huku wengine 87 wakirejeshwa nchini mwao baada ya kuingia nchini kwa kupitia wilayani Ngara mkoani Kagera.
Taarifa Muhimu Kutoka CHADEMA
Taarifa inatolewa
kwa vyombo vya habari kuwa kuwa Kamati Kuu ya Chama, chini
ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, itakutana Mei 3-4, katika kikao chake
cha kawaida kwa mujibu wa Katiba ya Chama.
Madereva bodaboda hatarini kupungukiwa nguvu za kiume
WAFANYABIASHARA wadogo na waendesha bodaboda wanaofanya biashara zao
kwenye njia kubwa za kusafirishia umeme wapo hatarini kupungukiwa nguvu
za kiume.
Tazama Picha Mbali Mbali za Sherehe ya Zari White Party iliyofanyika Usiku wa Jana(JUZI)
Tazama Picha Mbali Mbali za Sherehe ya Zari White Party iliyofanyika Usiku wa Jana(JUZI).
Subscribe to:
Posts (Atom)