Mchaka Zaidi

Thursday, August 4, 2016

Magazeti ya Tanzania August 4, 2016 kuanzia Udaku, Hardnews na michezo

August 4 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, UdakuMichezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.

Tuesday, August 2, 2016

Bauza kocha mpya wa Argentina


Image copyrightREUTERS

US fighter jets target ISIL in Libya for first time



Washington says air raids aimed at backing Libyan forces seeking to retake city of Sirte from the group.

Venezuelan campaign passes first hurdle

Venezuelan President Nicolas Maduro (28 July 2016)
Venezuela's national election council has announced its approval of the first step in an opposition campaign to recall President Nicola Maduro.

Serikali ya Tanzania kukata rufaa ndoa za utotoni


Serikali ya Tanzania imewasilisha ombi la kukata rufaa, uamuzi wa kihistoria nchini uliopinga ndoa za watoto walio chini ya umri wa miaka 18.Mwezi uliopita mahakama kuu iliamua kuwa sehemu za sheria ya ndoa mwaka 1971, iliyoruhusu wasichana kuolewa wakiwa na umri wa hata miaka 14 ni kinyume na katiba.

Magazeti ya Tanzania August 2, 2016 kuanzia Udaku, Hardnews na michezo



August 2 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, UdakuMichezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.