Wakili wa Tundu Lissu, Peter Kibatala ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa wanauomba upande wa Serikali, ufikishe ujumbe kwa Jeshi la Polisi ili wamfikishe Lissu Mahakamani hapo.
Habari iliyonifikia asubuhi hii ya August 24, 2017 kutoka Morogoro ni kuwa watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya daladala walilokuwa wanasafiria kugonga Train maeneo ya TANESCO.
Asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo August 24 2017 kuanzia ya Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa.
Rais mstaafu wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete ameendelea na kuwekeza nguvu zake katika kilimo wakati huu ambao amestaafu majukumu yake ya Urais.
Asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya
Tanzania leo August 21 2017 kuanzia ya Dini, Michezo na Hardnews
kujionea yote makubwa yaliyoandikwa.
Asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo August 15 2017 kuanzia ya Dini, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa