Mchaka Zaidi

Saturday, August 6, 2016

Ambwene Yessaya kuachia single mbili mpya kwa siku moja?



Magazeti ya Tanzania August 6, 2016 kuanzia Udaku, Hardnews na michezo


August 6 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, UdakuMichezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.