Feb 18 2016 Rais John Pombe Magufuli alikutana na baadhi ya wasanii pamoja na makundi aliyoshirikiana nayo katika kampeni zake za kuwania Urais mwaka 2015.
January 24 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu..
Hit Maker wa singo ya Duro kutoka Nigeria Tekno leo ametaja Wasanii wa Kitanzaniaambao tayari ameshafanya nao kolabo ambao hajui lini nyimbo hizi zitatolewa rasmi.
December 30 ilikuwa ni siku ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya KongoMbwana Samatta kukutana na uongozi wa wizara ya habari, vijana, utamaduni, burudani na michezo Nape Nnauye.
Watu wa Mwanza kwa mara ya kwanza December 19 2015 walifanya shopping kwenye mall ya kwanza kujengwa kwenye jiji lao iitwayo “Rock City Shopping Mall” ambayo ilijengwa kwa zaidi ya miaka miwili.
Ni show ambazo zote zimefanyika Escape One Dar es salaam ndani ya wiki tatu zilizopita ambapo staa wa Afrika kutokea Congo DRC Koffi Olomide aliimiliki stage kwa zaidi ya dakika 60, zitazame show zenyewe hapa chini…