Mchaka Zaidi

Tuesday, March 27, 2018

Habari kubwa za Magazeti ya TZ leo March 27 2018 Udaku, Michezo na Hardnews


Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania March 27 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa

Mtanzania aliyeshinda Ubingwa wa Dunia wa Boxing Australia ametua leo


Jumamosi ya March 24 2018 bondia mtanzania Bruno Tarimo aliingia ulingoni kucheza pambano lake la 25 nchini Australia dhidi ya bondia kutoka Australia na kufanikiwa kumpiga na kushinda mkanda wa dunia wa WBA.

Thursday, August 24, 2017

Tundu Lissu kashindwa kufika Mahakamani…alichosema Wakili wake je?


Wakili wa Tundu Lissu, Peter Kibatala ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa wanauomba upande wa Serikali, ufikishe ujumbe kwa Jeshi la Polisi ili wamfikishe Lissu Mahakamani hapo.

AJALI: Daladala imegonga Train asubuhi hii Morogoro


Habari iliyonifikia asubuhi hii ya August 24, 2017 kutoka Morogoro ni kuwa watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya daladala walilokuwa wanasafiria kugonga Train maeneo ya TANESCO.

Magazeti ya TZ leo August 24.. Udaku, Michezo na Hardnews


Asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo August 24 2017 kuanzia ya Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa.