Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazetiya Tanzania March 27 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezona Hardnewskujionea yote makubwa yaliyoandikwa
Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania March 27 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa
Jumamosi ya March 24 2018 bondia mtanzania Bruno Tarimo aliingia ulingoni kucheza pambano lake la 25 nchini Australia dhidi ya bondia kutoka Australia na kufanikiwa kumpiga na kushinda mkanda wa dunia wa WBA.
Wakili wa Tundu Lissu, Peter Kibatala ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa wanauomba upande wa Serikali, ufikishe ujumbe kwa Jeshi la Polisi ili wamfikishe Lissu Mahakamani hapo.
Habari iliyonifikia asubuhi hii ya August 24, 2017 kutoka Morogoro ni kuwa watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya daladala walilokuwa wanasafiria kugonga Train maeneo ya TANESCO.
Asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo August 24 2017 kuanzia ya Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa.