Mchezaji nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amepewa marufuku ya mechi tano baada kupewa kadi nyekundi wakati wa mechi ya el Clasicco siku ya Jumapili.
Tuesday, August 15, 2017
Saturday, May 6, 2017
Manchester City yaikaranga Crystal Palace mara tano
Klabu ya Manchester City imerudi katika nafasi yake ya tatu katika ligi ya Uingereza baada ya kupata ushindi mkubwa dhidi ya Crystal Palace ambayo imeshindwa kwa mara ya tatu mfululizo.
Friday, March 17, 2017
Timu nane zilizofanikiwa kufuzu kucheza robo fainali ya UEFA Europa League 2016/2017
Hatimae michezo ya hatua ya 16 bora hatua ya marudiano ya UEFA Europa League imemalizika usiku wa March 16 2017 kwa michezo nane kuchezwa, tayari timu nane zimepatikana baada ya michezo ya marudiano.
Magazeti ya Tanzania March 17, 2017 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo
Good Morning mtu wa nguvu, leo ni March 17 2017 na kama ilivyo kawaida yangu ya kila siku alfajiri nimekusogezea habari kubwa kwenye Magazeti kurasa za mwanzo na mwisho kuanzia ya Udaku, Hardnews na Michezo ili ujUe kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu
Friday, March 10, 2017
Mahakama yamng'atua mamlakani rais wa Korea Kusini
Mahakama ya juu nchini Korea Kusini imeunga mkono uamuzi wa bunge wa kumuondoa rais wa taifa hilo Park Geun-hye mamlakani
VIDEO: Baada ya mechi 9 za Europa bila goli, Samatta kaandika historia mpya ushindi wa 5-2
Mashabiki wa soka wa Tanzania ambao wanafuatilia kwa karibu maendeleo ya soka la nahodha wao wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta akiwa na timu yake ya KRC Genk ataifanyia nini katika mchezo wa kwanza wa UEFA Europa League hatua ya 16 bora dhidi ya KAA Gent kutoka Ubelgiji pia.
Subscribe to:
Posts (Atom)