Mchaka Zaidi

Sunday, October 30, 2016

Magazeti ya Tanzania October 30, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo


October 30 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.

Monday, October 24, 2016

Mourinho kakubali kipigo cha 3 EPL dhidi ya Chelsea Stamford Bridge


Jumapili ya October 23 2016 ndio siku ambayo kocha wa Man United Jose Mourinho alirudi tena Stamford Bridge kwa mara nyingine kucheza dhidi ya timu yake ya zamani ya Chelsea

Watoto wakimbizi wa Syria wafanyishwa kazi Uturuki

Baadhi ya watoto wakifanya kazi kiwandani
Uchunguzi wa siri uliofanywa na BBC umebainisha kuwa watoto wakimbizi wa Syria wamekuwa wakiajiriwa kinyume cha Sheria katika viwanda vya nguo nchini Uturuki.

Magazeti ya Tanzania October 24, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo


October 24 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.

Saturday, August 6, 2016

Ambwene Yessaya kuachia single mbili mpya kwa siku moja?



Magazeti ya Tanzania August 6, 2016 kuanzia Udaku, Hardnews na michezo


August 6 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, UdakuMichezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.