Mchaka Zaidi

Monday, October 24, 2016

Watoto wakimbizi wa Syria wafanyishwa kazi Uturuki

Baadhi ya watoto wakifanya kazi kiwandani
Uchunguzi wa siri uliofanywa na BBC umebainisha kuwa watoto wakimbizi wa Syria wamekuwa wakiajiriwa kinyume cha Sheria katika viwanda vya nguo nchini Uturuki.

Magazeti ya Tanzania October 24, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo


October 24 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.

Saturday, August 6, 2016

Ambwene Yessaya kuachia single mbili mpya kwa siku moja?



Magazeti ya Tanzania August 6, 2016 kuanzia Udaku, Hardnews na michezo


August 6 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, UdakuMichezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.