Mchaka Zaidi

Tuesday, August 2, 2016

Serikali ya Tanzania kukata rufaa ndoa za utotoni


Serikali ya Tanzania imewasilisha ombi la kukata rufaa, uamuzi wa kihistoria nchini uliopinga ndoa za watoto walio chini ya umri wa miaka 18.Mwezi uliopita mahakama kuu iliamua kuwa sehemu za sheria ya ndoa mwaka 1971, iliyoruhusu wasichana kuolewa wakiwa na umri wa hata miaka 14 ni kinyume na katiba.

Magazeti ya Tanzania August 2, 2016 kuanzia Udaku, Hardnews na michezo



August 2 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, UdakuMichezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.

Sunday, April 17, 2016

VIDEO: Barabara za juu kuanza kutumika Dar, Rais Magufuli Kauzindua mradi wake jana



April 16 2016 Rais John Pombe Magufuli amefanya uzinduzi wa mradi wa barabara ya juu ‘Flyover’ Dar es salaam, barabara inayotarajiwa kuanza kufanya kazi mwaka 2018.

Picha13: Harmonize alivyotoa Burudani ya nguvu kwa watu wa Mwanza kwa mara ya kwanza


Usiku wa April 16, 2016, watu wangu wa Mwanza kwa mara ya kwanza kwenye stageHarmonize alikutana na watu wake kwenye shangwe