August 2 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.
Tuesday, August 2, 2016
Friday, April 29, 2016
VideoMPYA: Nisher kaweka mikono yake kwenye ‘boge’ Emmanuel Austin ft. Ben Pol
Ulimiss kazi za Director Nisher? kama jibu ni Yes basi
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 29 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo
April 29 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye,
VIDEO: Full Time ya Villarreal vs Liverpool ni 1- 0, tazama na goli lenyewe
Game ni ya nusu fainali Europa League ambapo Villarreal FC ya Hispania imechukua ushindi wa
Sunday, April 17, 2016
VIDEO: Barabara za juu kuanza kutumika Dar, Rais Magufuli Kauzindua mradi wake jana
April 16 2016 Rais John Pombe Magufuli amefanya uzinduzi wa mradi wa barabara ya juu ‘Flyover’ Dar es salaam, barabara inayotarajiwa kuanza kufanya kazi mwaka 2018.
Picha13: Harmonize alivyotoa Burudani ya nguvu kwa watu wa Mwanza kwa mara ya kwanza
Usiku wa April 16, 2016, watu wangu wa Mwanza kwa mara ya kwanza kwenye stageHarmonize alikutana na watu wake kwenye shangwe
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 17 2016 kwenye, Hardnews na michezo
April 17 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu..
Subscribe to:
Posts (Atom)