Diamond Platnumz alionekana kwenye safari zilizofikia tisa kwa kutembelea nchi mbalimbali za Ulaya na kufanya show ambapo kwenye hii Exclusive anaeleza kwanini alisafiri na
March 30 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu..
Siku zinazidi kusogea na matumaini ya Tanzania yanazidi kupungua kuhusu safari ya Gabon mwaka 2017 katika michuano ya mataifa ya Afrika. Baada ya timu ya taifa ya Chad kujiondoa katika michuano ya Mataifa ya Afrika na kuacha mtihani Kundi G lenye timu za Tanzania, Misri na Nigeria.
Kwenye tafiti zilizowahi kufanyika wataalamu wanasema Binadamu akiwa na furaha anaongeza siku za kuishi, Watu wangu wa Mwanza usiku wa jana walitembelewa na mchekeshaji maarufu MC PiliPili unaambiwa watu walishika mbavu kila alipoongea na ule utani wake, Kwenye upande wa Burudani alikuwepo msanii wa BongoFleva Barnaba, ripota wa millardayo.om kazipata picha za tukio zima ruhusa kuzitazama.
March 28 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars alfajiri ya March 25 iliwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage ukitokea Chad kwa kupitia Ethiopia. Taifa Starswaliwasili Dar Es Salaam na kupokelewa na mapokezi mazuri kutoka kwa kikundi cha ushangiliaji cha Taifa Stars Suporter pamoja na watu mbalimbali.