Ni movie ya Mtanzania Salma Jabu maarufu ‘Nisha’ ambaye humo ndani yuko na mastaa kadhaa wa movie bongo akiwemo Mzee Majuto, na hii ni sehemu tu ya movie yenyewe inaitwa ‘Kiboko Kabisa’
Kwa mara ya kwanza klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji ambayo inaongozwa na kocha lakini inachezewa na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta, imempa nafasi ya kuanza katika mchezo wa leo dhidi ya klabu ya KV Oastende.
Feb 18 2016 Rais John Pombe Magufuli alikutana na baadhi ya wasanii pamoja na makundi aliyoshirikiana nayo katika kampeni zake za kuwania Urais mwaka 2015.
January 24 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu..
Hit Maker wa singo ya Duro kutoka Nigeria Tekno leo ametaja Wasanii wa Kitanzaniaambao tayari ameshafanya nao kolabo ambao hajui lini nyimbo hizi zitatolewa rasmi.
December 30 ilikuwa ni siku ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya KongoMbwana Samatta kukutana na uongozi wa wizara ya habari, vijana, utamaduni, burudani na michezo Nape Nnauye.