Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa leo(jana) ameushukuru uongozi wa shirikisho la soka nchini TFF kwa kumteua kushika nafasi ya kukiongoza kikosi cha timu ya taifa kwa kusaidiana na kocha kutoka visiwani Zanzibar Hemed Morocco.
Linah ni mwimbaji wa bongofleva ambapo hivi karibuni mpaka Mama yake mzazi alimpigia simu kutaka ajiepushe kugombana na watu baada ya kusikia stori kwamba anagombea Mwanaume na Wema Sepetu.
Leo kwenye @UHeardna Soudy Brown ilikua inamuhusu msanii mkubwa wa injiliTanzania,Rose Muhando.Baada ya mipango ya show na promota kwenda chaka, promoto akaamua kumuendea Soudy Brownhewani na kumuelezea kisa chote.