Mchaka Zaidi

Thursday, June 25, 2015

Kocha Mkuu Mpya na mabadiliko,soma HAPA

.
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa leo(jana) ameushukuru uongozi wa shirikisho la soka nchini TFF kwa kumteua kushika nafasi ya kukiongoza kikosi cha timu ya taifa kwa kusaidiana na kocha kutoka visiwani Zanzibar Hemed Morocco.

Linah kwenye studio ya Millard Ayo! ishu ya boyfriend wake na Wema Sepetu kaizungumzia hapa

Linah 3Linah ni mwimbaji wa bongofleva ambapo hivi karibuni mpaka Mama yake mzazi alimpigia simu kutaka ajiepushe kugombana na watu baada ya kusikia stori kwamba anagombea Mwanaume na Wema Sepetu.

Yalichoandika magazeti ya Tanzania leo JUNE 25, 2015 Udaku, Hardnews na Michezo

.