Mchaka Zaidi

Saturday, June 20, 2015

Godbless Lema Apata mpinzani Arusha ......Aja na Kauli mbiu "Chagua maendeleo usichague Soda"


HARAKATI za kuwania ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini zimeanza baada ya kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mustafa Abdulla Panju, kutangaza rasmi nia ya kugombea nafasi hiyo akiwa na kauli mbiu ya chagua maendeleo, usichague soda.
  

Thursday, June 18, 2015

MAAJABU YA KARANGA MBICHI NA KUKAANGA NAMNA INAVYOKINGA MAGONJWA YA MOYO NA KUPOOZA MWILI.

 
Na Mchambuzi, Maalim Saad.
MAAJABU YA KARANGA
Wengi wetu huchukulia ulaji wa karanga kama chakula cha kujiburudisha na kisichokuwa na umuhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu. Kiukweli karanga siyo chakula cha kupuuziwa
iwapo utajua faida zake kama nitakavyokujuza leo katika makala haya.


Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe AHUKUMIWA Jela Mwaka Mmoja.


MAHAKAMA ya wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, imemtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya Sh milioni moja, kutokana na kesi iliyokuwa ikimkabili ya kumshambulia mwangalizi wa ndani wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010.
 

Jaji Mkuu Mstaafu Ajitosa Urais CCM......Asema Yeye ni Brigedia Jenerali, Hakuna wa Kumuogopesha


JAJI Mkuu mstaafu wa Tanzania, Agustino Ramadhani (70) ambaye kwa sasa ni Rais wa Mahakama ya Afrika, amepandisha joto la urais ndani ya CCM, baada ya jana kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Baada ya Kuyaanika Makalio yake, Faiza Ally Aporomosha Matusi Mazito Kwa Wanaomponda


Faiza Ally amewajia juu Watu wanao mpiga majungu kuhusu kivazi chake alichovaa katika KTMA 2015 .
 

Mtuhumiwa wa Ukatili Aachiwa Huru Mahakamani


MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imemwachia huru mtuhumiwa wa kesi ya ukatili dhidi ya mtoto, Georgina Makasi.
 

Tanzania yafunga rasmi matangazo ya analojia


Tanzania jana  imeungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha uzimaji rasmi wa mitambo ya analojia kwa Televisheni huku ikiwa ni miongoni mwa nchi za kwanza za kusini mwa jangwa la Sahara kuingia kwenye mfumo wa digitali.