Mchaka Zaidi

Thursday, June 18, 2015

Jaji Mkuu Mstaafu Ajitosa Urais CCM......Asema Yeye ni Brigedia Jenerali, Hakuna wa Kumuogopesha


JAJI Mkuu mstaafu wa Tanzania, Agustino Ramadhani (70) ambaye kwa sasa ni Rais wa Mahakama ya Afrika, amepandisha joto la urais ndani ya CCM, baada ya jana kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Baada ya Kuyaanika Makalio yake, Faiza Ally Aporomosha Matusi Mazito Kwa Wanaomponda


Faiza Ally amewajia juu Watu wanao mpiga majungu kuhusu kivazi chake alichovaa katika KTMA 2015 .
 

Mtuhumiwa wa Ukatili Aachiwa Huru Mahakamani


MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imemwachia huru mtuhumiwa wa kesi ya ukatili dhidi ya mtoto, Georgina Makasi.
 

Tanzania yafunga rasmi matangazo ya analojia


Tanzania jana  imeungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha uzimaji rasmi wa mitambo ya analojia kwa Televisheni huku ikiwa ni miongoni mwa nchi za kwanza za kusini mwa jangwa la Sahara kuingia kwenye mfumo wa digitali.
 

Godbless Lema Nusura apigane na Polisi kituo cha Uandikishaji


MBUNGE wa   Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) jana nusura apigane  na askari aliyekuwa akilinda   kituo cha kujiandikisha katika  daftari la wapiga kura cha Shule ya Msingi Mkombozi Kata ya Sokoni I.

Rais Kikwete aanza ziara ya kiserikali nchini India


Rais Jakaya Kikwete jana ameelekea nchini India ambako atafanya ziara rasmi ya Kiserikali ya siku nne katika Jamhuri ya India kwa mwaliko wa Rais wa India, Mheshimiwa Pranab Mukherjee.