Thursday, June 18, 2015
Rais Kikwete aanza ziara ya kiserikali nchini India
Rais Jakaya Kikwete jana ameelekea nchini India ambako atafanya ziara rasmi ya Kiserikali ya siku nne katika Jamhuri ya India kwa mwaliko wa Rais wa India, Mheshimiwa Pranab Mukherjee.
Wednesday, June 17, 2015
Urais 2015: Mafuriko Ya LOWASSA Yatua Singida Kwa Kishindo.......Apata Wadhamni 22, 758
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wea Monduli, Mh. Edward Lowassa, akitoa hotuba ya shukrani kwenye makao makuu ya CCM mkoa wa Singida baada ya kupata wadhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Sunday, June 14, 2015
Mafuriko Ya Lowassa Yatua Kigoma......Azoa Wadhamini 11,250
Umati
wa WanaCCM pamoja na wananchi wa Mji wa Kigoma, ukiwa umefurika kwenye
Uwanja wa Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Kigoma, kuja kumuona Mh. Edward
Lowassa (anaeonekana kule mbele) wakati alipofika kuomba udhamini wa
wanachama wa CCM, ili aweze kupata ridhaa ya Chama kuwania Urais wa
Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Subscribe to:
Posts (Atom)