KAMATI Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, ilikuwa na kikao chake cha
kawaida cha siku mbili kilichokaa tarehe, 23 na 24 mwezi huu na
kuongozwa na Mwenyekiti wa Taifa, Anna Mghwira, pia kilihudhuriwa na
kiongozi wa Chama Zitto Zuberi Kabwe.
Hatimaye Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, jana alivunja ukimya wa
muda mrefu alipofanya mahojiano ya ana kwa ana na wahariri wa vyombo
mbalimbali vya habari.