Mwanamke wa Kwanza ndani ya chama cha Mapinduzi (CCM) Amina Salum Ali atangaza kugombea urais. |
Saturday, May 23, 2015
Al shabaab wavamia tena Kenya, watoa onyo kali kwa wananchi
Mamlaka nchini Kenya imesema kuwa walinda usalama wamekabiliana na
washukiwa wa kundi la wapiganaji wa kiislamu la Al- Shaabab, katika
wilaya ya Ijara katika kaunti ya Garissa Kaskazini Mashariki mwa nchi
hiyo.
Friday, May 22, 2015
Thursday, May 21, 2015
AL SHABAAB WAMESHINDIKANA, WAVAMIA MSIKITI NA KUUSHIKILIA KENYA
Viongozi Kaskazini mwa Kenya wamesema kuwa wapiganaji wa kundi la
kigaidi kutoka Somalia la Al Shaabab waliuvamia msikiti mmoja katika
kaunti ya Garissa kwa masaa kadhaa.
MWANAMKE WA KITANZANIA AMUUZA MTOTO WAKE WA KIUME WA MIEZI NANE TU KWA MTU MWINGINE KWA BEI YA SH70,000.
PICHA YA MAKTABA.
Monduli. Mkazi mmoja wa Kijiji cha Nanja, Kata ya Lepruko, wilayani Monduli, anadaiwa kumuuza mtoto wake wa kumzaa kwa mtu mwingine kwa Sh70,000 kwa madai kuwa ana maisha magumu.
Monduli. Mkazi mmoja wa Kijiji cha Nanja, Kata ya Lepruko, wilayani Monduli, anadaiwa kumuuza mtoto wake wa kumzaa kwa mtu mwingine kwa Sh70,000 kwa madai kuwa ana maisha magumu.
Rais Pierre Nkurunziza Asogeza Mbele Uchaguzi wa Wabunge Kwa Siku 10
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza amesogeza mbele uchaguzi wa
wabunge kwa siku 10 hadi Juni 5 mwaka huu kufuatia jaribio la mapinduzi.
Subscribe to:
Posts (Atom)