Mchaka Zaidi

Saturday, May 23, 2015

Al shabaab wavamia tena Kenya, watoa onyo kali kwa wananchi


Mamlaka nchini Kenya imesema kuwa walinda usalama wamekabiliana na washukiwa wa kundi la wapiganaji wa kiislamu la Al- Shaabab, katika wilaya ya Ijara katika kaunti ya Garissa Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo.
 

Thursday, May 21, 2015

AL SHABAAB WAMESHINDIKANA, WAVAMIA MSIKITI NA KUUSHIKILIA KENYA

Viongozi Kaskazini mwa Kenya wamesema kuwa wapiganaji wa kundi la kigaidi kutoka Somalia la Al Shaabab waliuvamia msikiti mmoja katika kaunti ya Garissa kwa masaa kadhaa.

MWANAMKE WA KITANZANIA AMUUZA MTOTO WAKE WA KIUME WA MIEZI NANE TU KWA MTU MWINGINE KWA BEI YA SH70,000.

http://internationalpoliticalforum.com/wp-content/uploads/2014/03/Modern_day_slavery.jpgPICHA YA MAKTABA.

Monduli. Mkazi mmoja wa Kijiji cha Nanja, Kata ya Lepruko, wilayani Monduli, anadaiwa kumuuza mtoto wake wa kumzaa kwa mtu mwingine kwa Sh70,000 kwa madai kuwa ana maisha magumu.

MBIO ZA URAIS: UJUMBE KUTOKA KWENYE KATUNI MEI 21/ 2015.



Rais Pierre Nkurunziza Asogeza Mbele Uchaguzi wa Wabunge Kwa Siku 10



Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza amesogeza mbele uchaguzi wa wabunge kwa siku 10 hadi Juni 5 mwaka huu kufuatia jaribio la mapinduzi.

Wednesday, May 20, 2015

Kipindupindu Chalipuka kwa wakimbizi wa Burundi Walioko Katika Kambi ya Kigoma.



WAKATI hali ya usalama nchini Burundi ikiwa bado tete, wakimbizi 558 walioko katika kambi ya Nyarugusu mkoani Kigoma wanaugua ugonjwa wa Kipindupindu.