Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeviweka chini ya ulinzi na
kuvifanyia uchunguzi vituo vitatu vilivyokusanya watoto 115 kutoka mikoa
13 nchini kwa lengo la kuwapatia mafunzo ya dini ya Kiislamu.
Tume ya uchaguzi nchini (NEC)imesema tarehe ya
Uchaguzi mkuu Mwaka huu iko pale pale ambapo ni siku ya terehe 25 mwezi octoba mwaka huu.
Wasomi,
wanasiasa, viongozi wa dini na wananchi katika maeneo mengi nchini,
wamepinga vikali tishio la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias
Chikawe, la kuzifuta taasisi za kijamii na kidini na kueleza kuwa
amekurupuka, hakushauriwa na kushindwa kufuata misingi ya demokrasia na
Katiba ya nchi.
Katika siku za hivi karibuni ndege
aitwae kware ameanza kuwa ndege maarufu katika baadhi ya wafugaji katika
nchi yetu na kwa wale ambao walikuwa wakiwawinda porini enzi na enzi
kwa ajili ya kitoweo.